2023-11-14 Kichwa cha treni (Lokomotive)

HabariLeo, November 2, 2023

KICHWA kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-01 kilichoundwa na Kampuni ya ‘Hyundai Rotem Company’ (HRC) kimewasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea Kusini.

Mambo yamenoga SGR

https://habarileo.co.tz/mambo-yamenoga-sgr/